Platform ya video Afrika

Uza video zako
kwa link moja.

Upload video, pata link ya kipekee, mtazamaji analipa kwanza kabla ya kutazama — na wewe unaona takwimu zote za wageni kwa wakati halisi.

Video linkLive
vidipay.app/video/somo-la-kwanzaTZS 2,000

500+

Websites

10K+

Video zilizopo

1M+

Video views

500+

Websites

10K+

Video zilizopo

1M+

Video views

24/7

Support

Kila kitu unahitaji kuuza video.

Mfumo mmoja wa upload, malipo, na takwimu — bila usanidi mgumu.

Link kwa kila video

Kila upload inapata slug ya kipekee tayari kwa kushare WhatsApp au Instagram.

Malipo kwanza

Mtazamaji anaona preview fupi, akilipa link inafunguka kwa muda mfupi tu.

Takwimu za wageni

Views, muda wa kutazama, na mapato kwa siku 30 — kwenye dashibodi moja.

Website yako

Tengeneza website inayojitegemea na video zake, rangi na mpangilio wako.

Pochi na mapato

Fuatilia kila malipo yaliyothibitishwa na salio lako kwa uwazi.

Muonekano wa kisasa

Grid, List, Netflix au YouTube — chagua unaopenda kwa sekunde.

01

Upload video

Chagua faili, weka bei na thumbnail.

02

Share link

Tuma link ya video au ya website nzima.

03

Pokea malipo

Mtazamaji analipa, wewe unaona takwimu.

Karibu VidiPay

Anza kwa kuunda akaunti yako: upload video, pata link, pokea malipo na fuatilia takwimu za wageni kwa wakati.